Natafuta soko la matunda ya passion

Natafuta soko la matunda ya passion

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
273
Natafuta soko la passion.
Nipo Dar.
Mwenye kuitaji karibu sana.
Tuma msg; 0712729015
 
1. Dar upo sehem gani?
2. Weka bei per kilo/debe/tone and ect
3. Ambatanisha picha kama kivutio/kishawishi.

Thanks
 
Ndugu Kilo Unauzaje?Na Upo Wapi Nikuungishe,mimi Npo Kinondoni
 
1. Dar upo sehem gani?
2. Weka bei per kilo/debe/tone and ect
3. Ambatanisha picha kama kivutio/kishawishi.

Thanks
Nipo kigamboni. Bei 1500/kg. Karibu sana
 
Natafuta soko la passion.
Nipo Dar.
Mwenye kuitaji karibu sana.
Tuma msg; 0712729015
Habari yako mkuu ..
Passion bado unazo??. Na kama unazo
Upatikanaji wako ukoje nakusudia uzalishaji wako ningependa kujua hivyo ili tuonge biashara. Na kama itawezekana naomba nambari yako ya sim tuonge zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom