Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
Usifananishe kutokujua kuendesha gari na kufanya biashara. Unaweza kueleza hiyo tathmini yako umeifanyaje na kujua kuna faida kama hata soko la kuuzia bidhaa zako hulijui?Wangapi wananunua gari wakiwa c madereva? Ila katika tathmini yng niliopiga nimeona ni biashara yenye faida ndo maana nikaamua niifanye
Mpk hapa nimeshathubutu na ivi mungu akipenda wiki ijayo naanza uzalishajiUsifananishe kutokujua kuendesha gari na kufanya biashara. Unaweza kueleza hiyo tathmini yako umeifanyaje na kujua kuna faida kama hata soko la kuuzia bidhaa zako hulijui?
Hata hivyo, kwa ushauri wangu nadhani hakuna haja tena ya kuendelea kujiuliza kwa kuwa tayari mashine unazo, amua tu kuanza biashara na soko utalisoma taratibu, utajikuta ukigundua matatizo mengi ya kuyarekebisha, maana kuna msemo unaosema: "Tofauti ya mtu aliyefanikiwa na wengine sio ukosefu wa maarifa, na wala sio ukosefu wa kipaji, bali ni kushindwa kuthubutu"...
Nimehongwa na mkeo
Hii biashara imekuwa ngumu maana watu wamekuwa wengi sana.ila kama utakuwa mwepesi kutafuta tenda na kuzunguka sana maeneo yanayojengwa utapata wateja lakini lazima ukubali kuwasaidia kuwapelekea kwa charge kidogoWadau naomba ushauri kwenu nataka kufungua kiwanda cha kufyatua matofali naomba mnijuze kuhusu jinsi ya kupata soko sababu mashine zote nimeshanunua tayari ss natafuta soko ntalipataje naombeni ushauri wenu
Nipe namba yko ya simuHii biashara imekuwa ngumu maana watu wamekuwa wengi sana.ila kama utakuwa mwepesi kutafuta tenda na kuzunguka sana maeneo yanayojengwa utapata wateja lakini lazima ukubali kuwasaidia kuwapelekea kwa charge kidogo
Na mimi naomba tenda ya kukuletea mchanga kama upo hapa dar.....
Nadhani wa kwanza pia kauliza vibaya....mambo ya mteja ni mfalme ni mambo ya zamani hayo....muheshimu mteja wako ila asikupelekeshe kama atakavyoKwa aina hii ya majibu, sishangai uliwezaje kununua mashine wakati hujui utafanyaje biashara...
Ni kweli lakini kufanya kosa eti kwa sababu wa kwanza kakosea si sahihi. Pengine ingekuwa busara zaidi kutokumjibu mtu unayedhani kauliza vibaya... after all haipunguzi chochote.Nadhani wa kwanza pia kauliza vibaya....mambo ya mteja ni mfalme ni mambo ya zamani hayo....muheshimu mteja wako ila asikupelekeshe kama atakavyo
Swali linajibiwa kutokana na swali lilivyoulizwa OVANi kweli lakini kufanya kosa eti kwa sababu wa kwanza kakosea si sahihi. Pengine ingekuwa busara zaidi kutokumjibu mtu unayedhani kauliza vibaya... after all haipunguzi chochote.
Huu ni mtazamo wangu...
Kama umepata eneo pembezoni mwa barabara we fyatua tu zipange zionekane vzr. Zitajiuza tu, fanya bei nzuri, tafuta na canter kwa ajili ya kumbebea mteja, ukiweza pembeni weka na duka la cement then utaona mambo yanavyojipa yenyewe.Wadau naomba ushauri kwenu nataka kufungua kiwanda cha kufyatua matofali naomba mnijuze kuhusu jinsi ya kupata soko sababu mashine zote nimeshanunua tayari ss natafuta soko ntalipataje naombeni ushauri wenu
tupe mrejesho mkuuuWadau naomba ushauri kwenu nataka kufungua kiwanda cha kufyatua matofali naomba mnijuze kuhusu jinsi ya kupata soko sababu mashine zote nimeshanunua tayari ss natafuta soko ntalipataje naombeni ushauri wenu