mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,860 Reaction score 132,116 Mar 23, 2014 #1 niaje wana jf nina mapera kama ton 2 tunategemea kuvuna natafuta soko la uhakika wa kuyauza...nani mwenye idea ani juze
niaje wana jf nina mapera kama ton 2 tunategemea kuvuna natafuta soko la uhakika wa kuyauza...nani mwenye idea ani juze
I iMind JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,156 Reaction score 5,265 Mar 23, 2014 #2 azam juice
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,938 Reaction score 20,230 Mar 23, 2014 #3 iMind said: azam juice Click to expand... Na wao waanze kutengeneza juice ya mapera
H Herg Senior Member Joined Apr 23, 2007 Posts 149 Reaction score 56 Mar 23, 2014 #4 Mbagala kwa Bhakhesa wananua.
A Austin20 Member Joined Mar 7, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Mar 23, 2014 #5 mrangi said: niaje wana jf nina mapera kama ton 2 tunategemea kuvuna natafuta soko la uhakika wa kuyauza...nani mwenye idea ani juze Click to expand... Nina soko la pera kenya
mrangi said: niaje wana jf nina mapera kama ton 2 tunategemea kuvuna natafuta soko la uhakika wa kuyauza...nani mwenye idea ani juze Click to expand... Nina soko la pera kenya
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,860 Reaction score 132,116 Mar 23, 2014 Thread starter #6 Austin20 said: Nina soko la pera kenya Click to expand... ni pm namba yako mkuu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,860 Reaction score 132,116 Mar 23, 2014 Thread starter #7 Herg said: Mbagala kwa Bhakhesa wananua. Click to expand... mbagala sehemu gani pale mkuu
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,021 Reaction score 9,177 Mar 24, 2014 #8 Ndugu usijiloge ukapeleka matunda yako Azam bila Ruksa yao, Hakika Utafeli yataoza na utabaki kulialia. Cha muhimu uConfirm na kiwanda kwanza kama wako tayari kununua huo mzigo. Pili mzigo huo ni mdogo sana kama kuna jirani pia wanayo na unauwezo wa kupata kama Tani 50, Tafadhali Ni PM tufanye mchakato wa kuuza kwa Azam.
Ndugu usijiloge ukapeleka matunda yako Azam bila Ruksa yao, Hakika Utafeli yataoza na utabaki kulialia. Cha muhimu uConfirm na kiwanda kwanza kama wako tayari kununua huo mzigo. Pili mzigo huo ni mdogo sana kama kuna jirani pia wanayo na unauwezo wa kupata kama Tani 50, Tafadhali Ni PM tufanye mchakato wa kuuza kwa Azam.