binafsi mzigo nategemea kuwa nachukua Mbozi Songwe... mpaka sasa ninachojua ni kwamba, kwa hapa nilipo, wengi huwa wanapeleka iringa, Dodoma na nje( kenya na rwanda)...
unaweza kunisaidia taarifa zaidi kwa uzoefu ulionao... na ukinibarikia namba za simu za wanunuzi waliopo masokoni unaojuana nao, utakua umenisaidia sana