abu-luqman Member Joined Nov 26, 2014 Posts 21 Reaction score 10 Nov 15, 2018 #1 Habar wadau. Naomba kufahamu soko la mahindi lenye bei nzur kwa ndani au nje ya nchi. Mahind yangu yanaharibikia ndani.
Habar wadau. Naomba kufahamu soko la mahindi lenye bei nzur kwa ndani au nje ya nchi. Mahind yangu yanaharibikia ndani.
J John Elia Member Joined Apr 18, 2014 Posts 87 Reaction score 96 Nov 15, 2018 #2 abu-luqman said: Habar wadau. Naomba kufahamu soko la mahindi lenye bei nzur kwa ndani au nje ya nchi. Mahind yangu yanaharibikia ndani. Click to expand... wapi mkoa
abu-luqman said: Habar wadau. Naomba kufahamu soko la mahindi lenye bei nzur kwa ndani au nje ya nchi. Mahind yangu yanaharibikia ndani. Click to expand... wapi mkoa
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 Nov 15, 2018 #3 Uko wapi Kiongozi? Njoo tuyasage tuuze kama unga, njoo inbox tuyajenge basi