gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 16
Nina mawe aina ya rutile quartz.
Vipi soko lake mawe ambayo yana vitu kama mizizi mizizi kwa ndani?
Naombeni kujua soko linapatikana wapi ninataka kujua ili niuze.
kwa mtazamo wa kawaida nikwamba jeupe lina angaza sana ukichukua tochi ukimulika mwanga una rudi hala ni jiwe moja ambalo kwa juu kuna vijiwe vingi sana ambavyo vina maumbo mengi kwa mfano nyumba za tembo
Ahahaaa,isijekua mabarafu ya mount kilimanjaro!!!Hata Almas huwa Ina picha.........hebu lete picha wazee wa miamba tung'amue...........
ninayo nilifanya machimbo madogo naomben niwatumie picha facebook yapo meng sema tatizo sina metal detector tu
lina maumbo mazuli yasio halibiwa sina upelelezi wowote njoo inbox
natumia mchina simu yangu nokia imepasuka tachi nifanyaje niweze kuapload
f/b unatumia jina gani?kwa mtazamo wa kawaida nikwamba jeupe lina angaza sana ukichukua tochi ukimulika mwanga una rudi hili ni jiwe moja ambalo kwa juu kuna vijiwe vingi sana ambavyo vina maumbo mengi kwa mfano nyumba za tembo
lina maumbo mazuli yasio halibiwa sina upelelezi wowote njoo inbox