Natafuta soko la kuuza mikoba au mfadhili wa bidhaa zangu

border mc

Member
Sep 19, 2023
41
43
Naomba mnisaidie kupata soko la dizaini ya mikoba hii

Niko naizalisha mimi mwenyewe ila bado sijapata soko la uhakika

Kama pia mtu anaweza nisponsor kwa kununua kwa bei ya jumla ni sawa pia.

Mikoba yangu hii ni mizuri na imara
UNAWEZA KUHIFADHI VITU KAMA
*laptop
*vitabu
*nguo na vitu vingine vidogo vidogo
Badala ya kushika mkononi unaweza kuhifadhi humu na kubeba bila shida yeyote

KARIBUNI SANA

WASILIANA NASI;

Kwa ufadhili:+255 786 977 368

Kwa manunuzi: +255 654 507 397

ASANTE
View attachment 2901220View attachment 2901221
 
Arusha naviona sana na wadada fulani slays hivi wanavibeba sana, najiuliza mbunifu wa huu mtindoni nani na ananufaika vipi na huu ubunifu wake. Bado sijapata majibu.
 
Arusha naviona sana na wadada fulani slays hivi wanavibeba sana, najiuliza mbunifu wa huu mtindoni nani na ananufaika vipi na huu ubunifu wake. Bado sijapata majibu.
Kama yale maudhui yangu yanavyosema hii ni ngumu, inaubora na iko simple tu ila unaweza weka vitu vyako vingi na kubeba bila shida yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…