Natafuta soko la chakula na cakes

Natafuta soko la chakula na cakes

mucram

Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
71
Reaction score
5
Habar zenu wakuu, mimi ni mjasiliamli mdogo, hutengeneza bites, chakula, na cakes. Ila ujasiriamali wangu hutegemea orders za wateja ndo niandae.. Napatikana mwanza.. Kwa mawasiliano zaidi
Whatsapp +255625632376
Instagram @foodbites_cycle.
 
ok tumekupata mkuu, nextime jifunze hata kutengeneza taarifa/tangazo lenye hata kamvuto mkuu
 
Back
Top Bottom