Nina asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na wakubwa natafuta soko popote ulipo hasa Dar es salaam anayehitaji anifate inbox au no 0783552816 nipo Urambo Tabora
Utachagua tukuletee mzigo mpaka dar,, au wewe uijie tabora lakini ukifata mzigo bei inapungua kuwa 140000 kwa dumu sababu usafiri ni 15000 kwa dumu na vibali vya kusafirisha tunakupa tunavyo