Natafuta software ya Nokia(Nokia Pc Suit)

RAD

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
18
Reaction score
8
Naomba msaada kwa yeyote anae weza kunipa link ya ku download Nokia Pc suit
 
Bado unahangaika na ma nokia symbian
Nahitaji kutumia apn (acess point) mbili kwenda mbele kwa pamoja.

Nina app tofauti na kila moja inahitaji apn yake unaweza kunisaidia os gani ya sasa inaweza kufanya hivyo?
 
Yap only symbian,

Dah! Afu mkuu Chief-Mkwawa nimekuta Nokia 700 inauzwa 200k vp kwa bei hiyo nichukue? Maana Nokia 701 sikuiona. Nimecheki specs zake Gsm Arena nimezikubali na hata review zake ni za kawaida tu. Halafu Lumia 625 inauzwa 250k nimecheki specs zake ina 4g kwa tiGO inaweza kusurport?
 
Last edited by a moderator:

Sio mbaya bei ila kioo kidogo sana utawezana nacho?

625 pia sio mbaya kwa bei hio na inayo 800mhz band hivyo itakubali tigo
 
Last edited by a moderator:
Sio mbaya bei ila kioo kidogo sana utawezana nacho?

625 pia sio mbaya kwa bei hio na inayo 800mhz band hivyo itakubali tigo

mi mwenyewe nina mikono midogo nitawezana nayo na kikubwa ilichonivutia ni kaumbo kake kalivyo kadogo na specs za ukweli hivyo itanifaa. Maana hapa nina N80 na 5230 hii Nokia 5230 inanivurtga tachi yake mbaya maana inatumia TFT RESISTIVE TOUCH SCREEN ina Kipeni chake kabisa. Na kwenye Lumia 625 nafuata 4G na Os, pia naifikilia ios huko nitakachofuata ni icloud na Design yake maana nimeipenda iphone 5 nikaulizia bei nikaambiwa 350k sasa sijajua ni 16GB,32GB au 64GB? 5s sijui bei yake inasimamaje.
 

Kama kioo hakikusumbui na unatoka 5230 basi nokia 700 ni simu nzuri. Hata camera yake nzuri na pia symbian belle ni nzuri kuliko simu za s60v5. Belle ina apps na games nyingi ambazo mpaka leo zipo supported na pia kuna store bado zipo active

Pia kuhusu 4g angalia lumia 550 pia muda si mrefu zitaingia madukani, yenyewe itakuwa ya kisasa kidogo na bei huwenda isifike 300,000 huku ukipata 4g, ram ya 1gb, hd display na windows 10 out of box

Kuhusu iphone komaa upate 5s sababu ya 64bit processor, soc za apple za 64bit zina nguvu sana hivyo 5s ni very powerfull compare na 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…