Nahitaji kutumia apn (acess point) mbili kwenda mbele kwa pamoja.Bado unahangaika na ma nokia symbian
Nahitaji kutumia apn (acess point) mbili kwenda mbele kwa pamoja.
Nina app tofauti na kila moja inahitaji apn yake unaweza kunisaidia os gani ya sasa inaweza kufanya hivyo?
It's only SYMBIAN
Yap only symbian,
Dah! Afu mkuu Chief-Mkwawa nimekuta Nokia 700 inauzwa 200k vp kwa bei hiyo nichukue? Maana Nokia 701 sikuiona. Nimecheki specs zake Gsm Arena nimezikubali na hata review zake ni za kawaida tu. Halafu Lumia 625 inauzwa 250k nimecheki specs zake ina 4g kwa tiGO inaweza kusurport?
sorry chief tigo 4g yao inapatikana kwenye frequency 800mhz?Sio mbaya bei ila kioo kidogo sana utawezana nacho?
625 pia sio mbaya kwa bei hio na inayo 800mhz band hivyo itakubali tigo
sorry chief tigo 4g yao inapatikana kwenye frequency 800mhz?
Sio mbaya bei ila kioo kidogo sana utawezana nacho?
625 pia sio mbaya kwa bei hio na inayo 800mhz band hivyo itakubali tigo
mi mwenyewe nina mikono midogo nitawezana nayo na kikubwa ilichonivutia ni kaumbo kake kalivyo kadogo na specs za ukweli hivyo itanifaa. Maana hapa nina N80 na 5230 hii Nokia 5230 inanivurtga tachi yake mbaya maana inatumia TFT RESISTIVE TOUCH SCREEN ina Kipeni chake kabisa. Na kwenye Lumia 625 nafuata 4G na Os, pia naifikilia ios huko nitakachofuata ni icloud na Design yake maana nimeipenda iphone 5 nikaulizia bei nikaambiwa 350k sasa sijajua ni 16GB,32GB au 64GB? 5s sijui bei yake inasimamaje.