Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jun 3, 2011 #1 Naomba msaada wana JF. Natafuta software ya kuweka password kwenye files na folders zangu. Tafadhali kwa anayejua anijuze. Natanguliza shukrani zangu
Naomba msaada wana JF. Natafuta software ya kuweka password kwenye files na folders zangu. Tafadhali kwa anayejua anijuze. Natanguliza shukrani zangu
SHAROBALO JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 771 Reaction score 349 Jun 3, 2011 #2 Folder Lock - Free software downloads and software reviews - CNET Downloads cheers
Paje JF-Expert Member Joined Apr 24, 2010 Posts 1,185 Reaction score 486 Jun 3, 2011 #3 hizi hapa zipo za kumwaga na unazipakuwa for free: lock folder - PhazeDDL Warez .p1
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,828 Reaction score 1,318 Jun 3, 2011 #4 Hivi hapa ni pakuuliza vitu kama hivi jamani?? na Google itafanya kazi gani...... Tusiendekeze kujibu kila kitu, mtu ajishughulishe kwanza.... watu wanakaa tu kusubiri wenzao wawatafutie kwenye Google.....inabore!!
Hivi hapa ni pakuuliza vitu kama hivi jamani?? na Google itafanya kazi gani...... Tusiendekeze kujibu kila kitu, mtu ajishughulishe kwanza.... watu wanakaa tu kusubiri wenzao wawatafutie kwenye Google.....inabore!!
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Jun 3, 2011 #5 Bushbaby said: Hivi hapa ni pakuuliza vitu kama hivi jamani?? na Google itafanya kazi gani...... Tusiendekeze kujibu kila kitu, mtu ajishughulishe kwanza.... watu wanakaa tu kusubiri wenzao wawatafutie kwenye Google.....inabore!! Click to expand... Akili zako kama paka wa avatar yako wewe unafikiri wote wana uwezo wa IT kwamba yanapatikana kwenye google?
Bushbaby said: Hivi hapa ni pakuuliza vitu kama hivi jamani?? na Google itafanya kazi gani...... Tusiendekeze kujibu kila kitu, mtu ajishughulishe kwanza.... watu wanakaa tu kusubiri wenzao wawatafutie kwenye Google.....inabore!! Click to expand... Akili zako kama paka wa avatar yako wewe unafikiri wote wana uwezo wa IT kwamba yanapatikana kwenye google?
mdeesingano Member Joined Aug 12, 2008 Posts 64 Reaction score 19 Jun 4, 2011 #6 @Bushbaby, jaribu ku-watch movie inaitwa "3 ******" itakusaidia... Kuna dingi mmoja huko anaitwa viru aka virus mcheki fresh then atakusaidia! Pia usikize maneno aliyosema rancho wakati kaambiwa afundishe.... Poa poa!
@Bushbaby, jaribu ku-watch movie inaitwa "3 ******" itakusaidia... Kuna dingi mmoja huko anaitwa viru aka virus mcheki fresh then atakusaidia! Pia usikize maneno aliyosema rancho wakati kaambiwa afundishe.... Poa poa!
mdeesingano Member Joined Aug 12, 2008 Posts 64 Reaction score 19 Jun 4, 2011 #7 Bwana @mawenzi.... Jaribu truecrypt, inasaidia kutengeneza drive ambayo access yake ni kwa password!