KnucleBreaker
Member
- Jan 10, 2022
- 23
- 29
hongera sana,so kwa sisi wenye interest na software development na ndio newbie (self taught) kwenye tasnia ya IT, nazurura kwenye platform kama freecodecamp.org na xaxa am looking forward to specialize in puppet,java,SEO,SQL i.e vp hatuna nafasi ya kujiunga na team hapo mbeleni.
Kuna ndugu yangu anatafuta developer wa kumwajiri awe na ABCs tu siyo mtaalam. Akipatikana nifahamishe.Habari wakuu,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya mawasiliano, vile vile nafanya web application na mobile application development.
-Mobile Apps (specifically iOS apps.)
- Nina uzoefu wa kutosha na Object Oriented Programming
- Ninadesign na kudevelop backend sytems kwa PHP na Laravel Framework
- Database management and designing
- Git and GitHub version control systems, collaboration workflows, etc.
- Basic Frontend skills, km HTML, CSS, JavaScript & JQuery na Bootstrap. (Najifunza React)
So, natafuta team ya kujoin au individuals, vijana wenzangu ambao wapo determined na wana passion na hii career, tupige kazi.
Kama una frontend development skills (frameworks e.g. React, Angular au Svelte, etc) itakuwa vizuri zaidi, ila vinginevyo pia ni sawa. Learning Materials yapo, vitabu, udemy courses, nk.
Lengo ni kujiajiri kama vijana, na kutatua changamoto zinazozunguka mazingira yetu ya kila siku.
Asanteni, nawakilisha.
Hapa ndio watanzania wengi tunapo kwama.Mimi najua kwenye computer science au programming kazi huwa ndio zinaongea. Mngeweka portfolio website zenu au hata GitHub hapo mngekua mmenena kivitendo zaidi.
guzman_ anawezakuwa yupo sahihiMimi najua kwenye computer science au programming kazi huwa ndio zinaongea. Mngeweka portfolio website zenu au hata GitHub hapo mngekua mmenena kivitendo zaidi.
Kabisa.Hapa ndio watanzania wengi tunapo kwama.
Habari wakuu,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya mawasiliano, vile vile nafanya web application na mobile application development.
-Mobile Apps (specifically iOS apps.)
- Nina uzoefu wa kutosha na Object Oriented Programming
- Ninadesign na kudevelop backend sytems kwa PHP na Laravel Framework
- Database management and designing
- Git and GitHub version control systems, collaboration workflows, etc.
- Basic Frontend skills, km HTML, CSS, JavaScript & JQuery na Bootstrap. (Najifunza React)
So, natafuta team ya kujoin au individuals, vijana wenzangu ambao wapo determined na wana passion na hii career, tupige kazi.
Kama una frontend development skills (frameworks e.g. React, Angular au Svelte, etc) itakuwa vizuri zaidi, ila vinginevyo pia ni sawa. Learning Materials yapo, vitabu, udemy courses, nk.
Lengo ni kujiajiri kama vijana, na kutatua changamoto zinazozunguka mazingira yetu ya kila siku.
Asanteni, nawakilisha.
Mimi ni software developer. Tunaweza tukaungana. Contact +255653188013Habari wakuu,

Mkuu fafanua kidogo hapaKuna ndugu yangu anatafuta developer wa kumwajiri awe na ABCs tu siyo mtaalam. Akipatikana nifahamishe.
Nitafanue nini! Kama wewe ni developer, jitokeze kazi ni nyingiMkuu fafanua kidogo hapa
niliona kama naweza kufanya kazi na huyo jamaa yako uliyesema anatafuta developer lakini awe anajua ABCs na asiwe mtaalamu...Nitafanue nini! Kama wewe ni developer, jitokeze kazi ni nyingi
Umeacha neno muhimu la siyo lazima awe mtaalamniliona kama naweza kufanya kazi na huyo jamaa yako uliyesema anatafuta developer lakini awe anajua ABCs na asiwe mtaalamu...
Area ya specialization ni ipi?Umeacha neno muhimu la siyo lazima awe mtaalam