kim prince msofe Senior Member Joined Feb 27, 2015 Posts 154 Reaction score 44 Oct 29, 2016 #1 Natafuta smartphone ya shilingi elfu hamsini please mwenye anayo ani PM
Abuhunna JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 409 Reaction score 233 Oct 29, 2016 #2 kim prince msofe said: Natafuta smartphone ya shilingi elfu hamsini please mwenye anayo ani PM Click to expand... hutopata smart phone kwa bei hiyo, utanunua matatizo tu ndugu, changa taratibu, ikifika kwenye laki na 30 utapata simu ya kukufaa kwa pesa yako, na ni mpya toka dukani
kim prince msofe said: Natafuta smartphone ya shilingi elfu hamsini please mwenye anayo ani PM Click to expand... hutopata smart phone kwa bei hiyo, utanunua matatizo tu ndugu, changa taratibu, ikifika kwenye laki na 30 utapata simu ya kukufaa kwa pesa yako, na ni mpya toka dukani