Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza, natafuta mwanamke aliezalishwa tayari (singe mother) niwe nae katika mahusiano na kama Mungu akipenda NDOA itafuata
Zingatia vigezo ( awe ana mtoto tayari)
Mkoa wowote
Dini yoyote
Rangi,kimoja,umbo sichagui