Okay sawa....sio kwamba nawazibia ila kuna kitu wanaita co-parenting hii wanayo.
kila laheri kwenu
HahahahUna co-parenting zako 3, safiiiiii (unamkumbuka huyo member?)
SheikhHili nalo ni tatizo aisee. Ila visababishi ni sie wanaume so ni kukubaliana na hali tu [emoji23]
so unawaonea huruma tena?? usioe kisa unaonea huruma oa cuz umeridhia mkuuMzee.
Tuwaliwaze walioumizwa na mahusiano ya ujana
Usisahau miongoni mwao hubakia kuwa single mothers hadi uzeeni tokana na tabia zao au ile kauli ya "kunguru hafugiki kamwe"Best
Hilo swali wala sitauliza kwa sababu natarajia wengi wa single mamaz wamejifunza na kuwa wakweli wasije wakapoteza second chance
Mkuu jina la avatar yako litakuponza hata Kama una Jambo serious..1. Unajijua ni mrembo wa akili na mwili.
2. Umechoka upweke
3. Ni mpambanaji mtafutaji
4. Unahitaji kumbatio la nafsi
5. Upo tayari kupima
6. Dini siyo kikwazo
7. Siyo bongebonge au upo tayari kutherapy kupunguza unene
Basi tukutane inbox nina jema la kwako
FactSheikh
Huu utamaduni walioujenga ameature girls kuwa akipata handsome boy watapata mtoto mwenye sura laini kama revola ndo kinawaponza sana.
Na wakishapigwa ujauzito na drama za kutosha huishia kuwa singo mamaz. Hawajui kwamba being a father is not the amount ya manii alizonazo mwanaume bali capability ya kuhandle situations and sacrifices zake kwa familia.
Kids are gifts wasiwe subject to mahusiano bali subject to familia
hahahahahahaDear nawe utahitaji kuoneshwa kaburi la baba mtoto au we hilo sharti hauna???
(nimetoa msaada wa kuwasaidia kuuliza)
nakumbuka katibu 😂😂😂Una co-parenting zako 3, safiiiiii (unamkumbuka huyo member?)
Tujenge ya kisingo mama au umetanua wigo na wengine tuje???Njoo tuyajenge inbobo
Naomba linkTelegram wamejaa unachagua tu
bado natafuta 😁Tangu 2012 ina maana haujapata singo faza wa kumlia eda?
Evelyn unaniangusha
[emoji1787]
Mkuu hali ya sasa ni tete.
Bora kuwa na aliyegaragazwa na changamoto kuliko hawa slay queens ambao hawajui nini maana ya soulmate