Hahahaha, masingle mamaz? Unawajuaje au wana group kbs?Telegram wamejaa unachagua tu
Hahahahaha, huyo mwenyekiti wangu wa zamani,anavunja ukimyaIsijekuwa uko jukwaani
Msanii
Hahahahaha, ni kweli kbs mkuu, nami nitatafuta wa hv[emoji1787]
Mkuu hali ya sasa ni tete.
Bora kuwa na aliyegaragazwa na changamoto kuliko hawa slay queens ambao hawajui nini maana ya soulmate
Dear nawe utahitaji kuoneshwa kaburi la baba mtoto au we hilo sharti hauna???Serious waje PM
BestDear nawe utahitaji kuoneshwa kaburi la baba mtoto au we hilo sharti hauna???
(nimetoa msaada wa kuwasaidia kuuliza)
Okay sawa....sio kwamba nawazibia ila kuna kitu wanaita co-parenting hii wanayo.Best
Hilo swali wala sitauliza kwa sababu natarajia wengi wa single mamaz wamejifunza na kuwa wakweli wasije wakapoteza second chance
AmenMungu atakupatia wa kufanania nawe mpenzi
Una co-parenting zako 3, safiiiiii (unamkumbuka huyo member?)Okay sawa....sio kwamba nawazibia ila kuna kitu wanaita co-parenting hii wanayo.
kila laheri kwenu