Natafuta simu

Eddie99

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
37
Reaction score
22
Habari wana jamii natafuta simu aina ya Tecno M7 au M5 naweza pata kwa 250,000/-?
 
Kwa hyo pesa tangulia samaki samaki nkukute umeagizia desert fd na cocktail
 
Hahaha... sawa kiboko nitafanya hivyo. Lkn naamini haiwezi zidi 300,000 kwani. na je kuna tofauti gani na M5?
 
Me nasaka catrage ya hP 383,nimeisaka kariakoo yote nineikosa
 
pana lumia 520. used for three weeks..inakuja na box na accessories zake zote..bei laki tatu
 
Mi nishakamata kitu cha Tecno M7 ni noma. Can't wait for Phantom AIII (F8)
 
Phantom A na M7 ipi vizuri zaidi?

Phantom A ni nzuri zaidi inatofautiana kidogo na M7 camera na processor. Ofcourse na size. Zaidi nenda google but zote mbili ziko poa sana. Just go for one.
 
ipo nokia lumia 800 mkuu kwa laki 300,000 tu bado iko fresh imetumika one month...

mkuu tubadilishane hiyo nikupe huawei y300 ina wiki moja tu nakuongezea na hela kidogo inatumia line zote....0766988326
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…