Natafuta simu

Natafuta simu

Nina simu ya kimarekani imara sana inaitwa violet 5pro shs 350,000/- ukiiona itaipenda mwenyewe niko Mbezi beach Tangi bovu. 0754 597809
 
sema tu kwavile umesema hautaki Huawei. Ila ningekupa hii HUAWEI P6

ila HAIPUNGUI HATA SENTI )
unaleta maringo ya haipungui hata senti moja wakati ushaambiwa hataki HUAWEI! Wewe hapa ndio unabembeleza achukue HUAWEI, usilete maringo
 
Kweli watu hatufanani!Mimi masimu makubwa ndio haswaaaa yangu.
Labda sababu mimi ni mrefu
If you know what I mean

Sure I know, mimi kwa kweli napenda very portable phone kiasi ambacho sihitaji kuikumbatia kwa mikono miwili, au naishika huku nina wasiwasi wa kuidondosha.

So kioo cha 4.7" mpaka 5" ni ideal kwangu, ikishavuka 5" naona inanichosha tu.
 
Duuuuuh basi mimi natumia size hiyo unayoitaka wewe miezi mitatu sasa am just phucken tired.
Ni such a nice phone lakini sasa nimeshamiss simu zangu kubwa.
 
Duuuuuh basi mimi natumia size hiyo unayoitaka wewe miezi mitatu sasa am just phucken tired.
Ni such a nice phone lakini sasa nimeshamiss simu zangu kubwa.

Itabidi ununue nyingine tu, huna namna.

Simu kubwa nachoipendea ni kwenye kusoma kitabu tu, otherwise inanitesa.

Kuepuka hilo nilinunua kuna vidude vya kusomea vitabu kwa hiyo simu imebaki kwa matumizi ya simu tu.
 
hamna mtu mwenye Note 3
Ipo nyeupe kwa 370k fixed....ni pm
1475401765654.jpg
 
JAMANI MI NNA ELFU 40 NATAFUTA USED E72 AU BLACKBERRY ZENYE BATAN au nokia X2-01 NNAKUACHIA NA TECNO T528 KKOO INAUZWA ELF 55 ikiwa na betri ya 2500mah, inahifadh chaji zaid ya wk 2, nmetumia wk tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom