Natafuta simu ya tshs. 150,000 hadi tshs.200,000

Natafuta simu ya tshs. 150,000 hadi tshs.200,000

Nina simu samsung galaxy y pro b5510 ni screen touch and keypad single line
 
habari wakuu kwa yeyote mwenye simu nzuri mpya au used naomba ani pm au anipigie kwa namba 0718096811 tufanye biashara.!

SIFA
- camera isiwe chini ya 8.0 MP
- watsup
- "touch screen"
- kama ni used isiwe imetumika zaidi ya miezi 2
- prefered brands: samsang, huawei, nokia, htc

nipigie 0718096811, au pm tufanye biashara
Htc wildfire S


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nina Nokia N9 used nauza 250,000. Full HD na internal memory ni 16GB, kamera yenye flash huna haja ya digital camera. Kiufup ina kila ki2. 0715719171 nipo chamaz Dsm
 
Back
Top Bottom