Natafuta simu ya nokia

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662

Habari zenu wanaJF?
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm

Napoishi:Buza Kanisani

Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/=

Asanteni
 
Habari zenu wanaJF?
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm

Napoishi:Buza Kanisani

Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/=

Asanteni
Utapata ila tusilaumiane
 
Me nahitaji NOKIA ASHA 205 au kubwa zake zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…