Natafuta Simu ya Nokia Asha ya kununua .

Natafuta Simu ya Nokia Asha ya kununua .

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
2,172
Reaction score
892
isiwe ya uwizi

iwe orijino

iwe na uwezo wa kuchuka laini 2

iwe haijatumika sana au ipo kwenye hali nzuri,

pesa cash iliyopo ni sh elfu50, pesa inaweza kuwa adjusted.

napatikana Ubungo, Dar Es Salaam.

send me pm or call 0714345958
 
Kuna asha 305 mkuu 2line bei 120000 ime2mika miez m2
mkuu nimependa hii, plse nipm namba yako ya simu au nitext kweny namba yangu ya simu hapo juu,
sina 120 lakini najua tutaongea:smile-big:
 
Only line 1 mkuu,thats why nimesisitiza kwa kusema kama ukikosa kabisa,model X2-01,npo arusha bei 120,000.call 0756597108
umehama Dom :smile-big:

haya nikikosa nitakutafuta lakini ushuke kidogo:smile-big:
 
isiwe ya uwizi

iwe orijino

iwe na uwezo wa kuchuka laini 2

iwe haijatumika sana au ipo kwenye hali nzuri,

pesa cash iliyopo ni sh elfu50, pesa inaweza kuwa adjusted.

napatikana Ubungo, Dar Es Salaam.

send me pm or call 0714345958

Nenda kkoo kabisa kaka.
 
Mimi nakushauri nenda dukani utakuja kuchukuwa kimeo uje utowe lawama kumbuka ndugu rahisi gali
 
sijawaomba ushauri, asanteni kwa ushauri. nimeshanunua vitu vingi tu humu jf na vyote vinafanaya kazi vizuri hadi leo. acheni kupotosha watu kuhusu vitu vinavyouzwa jf.

kila la kheri.
Nadhani we hauflud meseji huku.
 
safi wambie jf sio jalala lakuza vitu vibovu upotoshaji wakijinga
 
Back
Top Bottom