Natafuta simu ya kununua

Natafuta simu ya kununua

Nina iphone 4. Imetumika miezi 6. Apple id unapewa, sema unatoa bei gani?
 
kuna nokia x2 dual mpyaaaa nyeupe kwa 160000' yan haina scratch hata 1
 
Maduka yako wazi hata christ mas shida mini ubwege au ulazy bum ndio maana DNA zinatuumbua
 
nipo dsm nakuja pm tufanye biashara, pole kwa wanaotaka niende dukani basi wanaouza cm nao waambie wakauze dukani
 
kuna android nokia x2 dual mpyaa nyeupe haina scratch hata 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom