Elia Holiday
Member
- Oct 18, 2014
- 20
- 2
Ni kwamba natafuta simu yeyote yenye kuweka laini nzima sio vipisi,yenye camera ya mbele ,hizi ni sifa kubwa...ninazozihitaji...mm nipo NGARRENARO ARUSHA please kwa aliye nayo Tafadhali tuwasiliane kupitia+255755062244 nipo seriously NA simu hiyo ni inahitajika haraka sana kabda ya tareh2 Jan.