Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,295
- 755
Ninayo Huawei L 8nahitaji sh 400000Natafuta moja kati ya hizi simu.
Tecno C9, PHANTOM 5 au 6, Samsung A7, Sony xperia z2 au z3,Huawei p8.
Muuzaji awe Arusha
Sms, 0673229342 au ni pm
Hapana kaka nahitaji nilizotaja hapo juu..Leta 200k upate p5
C8 hapanaIko tecno c8 laki 2 tu niko Dar.
150000 inakwenda?Hii ninayotumia hapa ni Huawei P6. ina miezi minne tu. Leta 200,000
P6 hapana mkuuHii ninayotumia hapa ni Huawei P6. ina miezi minne tu. Leta 200,000