Mkuu ,Samsung S3 kumbuka ni kati ya Simu ambazo zimefanya vyema katima soko la samsung.,na ndio simu ambayo ina kiwangincha kati mpaka sasa( yaani imeshindwa kupitwa na wakati) .
Sasa kwa Bei uliyoisema hapo na Vigezo ,Duuh . Kwaweli upati .
Other wise watu humu wataishia kukuota NDOROBO.