Yaan hizi specs ni kama za simu, au ni maalum kwa watoto wa chekechea kujifunza ku type?nauza laptop ni dell ya kisasa inatumia window 8 ina hard disk gb 2 ram mb 80 prosecor 2.6 bado ina upya naiuza lakimbili na nusu.niko dar
iphone hapana kaka.
Kwani S5 si ni iPhone au ni brand gani hiyo? Ni vizuri mkawa specific kwny kuandika