Natafuta simu, niuzie simu hapa

Matty96

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
215
194
Iwe na uwezo wa kusupport 4g.. Screen ianzie 5.5".. Isiwe tablet.. Iwe Android.. Nna Tsh 400k Cash.. Nipo Dodoma.. Camera pia iwe nzuri.. Used Au Mpya are accepted both
 
iko lg g2.........cheki specs google.............bei yangu 300k.....ukivutiwa njoo tuongee 0656497469
 
Iwe na uwezo wa kusupport 4g.. Screen ianzie 5.5".. Isiwe tablet.. Iwe Android.. Nna Tsh 400k Cash.. Nipo Dodoma.. Camera pia iwe nzuri.. Used Au Mpya are accepted both
Ninayo blackberry z10 nyeupe naiuza 250,000 kama upo interested nichek kwa 0657868981
 
Ninayo tecno c5
ina 4G kamera ndo usiseme flash mbele na nyuma.

kama upo tayari micheki0765919620
nipo Mwanza
 
Back
Top Bottom