Wakuu napenda kuwafahamisha kuwa leo hii nimepata IPHONE 3gs 8GB MODEL-MA712ll yenye version 3.1.3.(7E18).
Nimejaribu kuwa-PM drphone na kifimbocheza na niliwapa namba zangu lakini bahati mbaya sikusikia lolote kutoka kwao hata hivyo mimi nitakuwepo Dar mpaka jumanne nawaomba tu tuonane maana kuna vitu vya kurekebisha kwenye simu hiyo niliyonunua,kuna baadhi ya apprlication zake zimefungwa kwa password na aliyeniuzia anasema alishasahau password yake Kwenye HOME SCREEN unaingia bila shida tatizo linakuwa kwenye baadhi ya APPLICATION kama vile Safari,ipod,yahoo,messenger.
Jamaa huyo aliniuzia kwa bei ya 300000 si ya kichina Drphone au kifimbocheza wakinipigia nitawatafuta popote walipo Dar na nitawaonyesha.
Mwisho nawashukuru sana wote waliotoa mchango wao wa mawazo ili nisichukue IPHONE ya kichina.