Ndugu natafuta Simu yenye uwezo wa kusupport what's app budget yangu ni 70000
Nichek via mobile 0716880022
kuna simu za voda zinazouzwa 79000?tafuta tecno au ongeza buku tisa ununue za voda
Ndugu natafuta Simu yenye uwezo wa kusupport what's app budget yangu ni 70000
Nichek via mobile 0716880022
Kama uko dar ni Pm tuwasiliane nina samsung poket kaka imetumia miez mi 4 tuu ila utaongeza kidogo mpunga ni mpyaa kbsaa haina tatzo lolote kbsaa

Kwa 120k utanipa smartphone ipi? Ni pm kama unayo.