Natafuta simu aina ya tecno n3

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Nanunua mda wowote ambapo itapatikana,ikiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi
 
nipo arusha..Single line-175000,double line -185000 mkuu.....kama vp ni pm...
brand new with 8gb memory card....
 
kaka scofied hiyo tecno ya marekani au???

mbona mwanza ni 160,000/- mpaka 150,000/-

niaje hapa?
 
kaka scofied hiyo tecno ya marekani au???

mbona mwanza ni 160,000/- mpaka 150,000/-

niaje hapa?

sasa kaka huoni kama una msaada hapa,fanya kunicheki kwa namba hii 0755065418 mwanza duka gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…