wakweetusana
Member
- Feb 14, 2016
- 11
- 3
Mkoa gani unataka
Boardingunamaanisha day au boarding
Pandahill nakuunga mkono ila metaMeta secondary ya ccm wazazi na pandahill (mby)
Mbaliz sec hawana CBGnenda mbalizi sec
Nenda mtwara st Thomas Aquinas ipo mtwara BT hapo kwenda form six wastan wa 55 au twende jipe au njoo mbeya meta secMkoa wowote tanzania nsaidie kama unazifaham
Nisaidieni shule private inayolipa ada chini ya laki 8 hata iwe ya day yenye CBG Advanced level
ada ya meta sh ngap mkuuNenda mtwara st Thomas Aquinas ipo mtwara BT hapo kwenda form six wastan wa 55 au twende jipe au njoo mbeya meta sec
ada siifahamu bt nadhani ni less than mill 1 na nusuada ya meta sh ngap mkuu
Habari yako kijana,kama kweli unayo nia ya kupata shule bora na sio bora shule,unaweza kunitafuta kupitia no: 0656415981,ntakusaidia!!!Wanajamvi habari zenu,
Natafuta shule ya Private ya Advanced Level yenye combination ya CBG kwa Ada ya chini ya Milioni moja na nusu.
Asanteni.
Nicheki 0656415981,ntakusaidia.Nisaidieni shule private inayolipa ada chini ya laki 8 hata iwe ya day yenye CBG Advanced level