Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,385
- 8,280
Kwa wenyeji au wanaoifahamu vizuri Kigamboni na maeneo jirani, naomba mnisaidie kujua shule inayofanya vizuri kimaadili na kitaaluma. Shule hiyo iwe ya bweni, kwa wavulana au mchanganyiko, pia viwango vyao vya ada. Nitashukuru kupata msaada katika hilo.