LIDODA KAMBANGA
Member
- Mar 28, 2014
- 25
- 0
Habari wana JF, mimi naitwa Ben niko Mwanza nilikuwa chuo kwa semister tano shahada ya mawasiliano kwa umma, nimeshndwa kuendelea na masomo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu, msaada shule yoyote Mwanza kufundisha kidato cha sita nilhitimu kwa mchepuo wa HKL mawasiliano:0756692453