Ally maganga JF-Expert Member Jan 18, 2014 1,433 913 Jun 11, 2017 #1 habari wakubwa. Mwenye contacts ya shule ya private a-level ya ada nafuu ambayo inachukua CBG naomba ani PM.
habari wakubwa. Mwenye contacts ya shule ya private a-level ya ada nafuu ambayo inachukua CBG naomba ani PM.
Ighombe JF-Expert Member Feb 12, 2014 1,176 668 Jun 11, 2017 #2 St. Amadeus boys sec. Iko moshing. Ada no about 2.4m.ila walisharipoti na wanaendelea na masomo.