Natafuta shule ya Advance Pwani.

Black7

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
367
115
Kama unaijua shule yoyote ya Advance ya boarding iliopo kati ya Pwani ama Dar yenye ada isiyozid Mil 3 yenye miundombinu mizuri kwa michepuo ya Science naomba unifaamishe.
 
Back
Top Bottom