Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

Nyanda21

Senior Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
134
Reaction score
60
Habarini za muda huu wakuu. Nimekuja kwenu nahitaji msaada Nina wadogo zangu nawasomesha naulizia shule nzuri za private wilayani kahama mkoa wa shinyanga ambapo watapata elimu bora. Mbarikiwe
 
Shule level/ngazi ipi..kuna s/msingi,sekondari..na hata chekechea.
 
Kwema na Rockenhill academy! Ada mil2,5
 
Habarini za muda huu wakuu. Nimekuja kwenu nahitaji msaada Nina wadogo zangu nawasomesha naulizia shule nzuri za private wilayani kahama mkoa wa shinyanga ambapo watapata elimu bora. Mbarikiwe
Wasiliana na ofisi inasaidia kutafuta shule na vyuo namba zao ni 0769648110
 
Kama ni ke, mpeleke queen on family kama pia ni me mpeleke anderlake ridge's
 
Kahama shule bora kabisa na nzuri..jinsia zote ya kwanza john paul ii.kwa wasichana pekee ni queen of family.hizi ni shule pacha.zote zipo chini ya R.C religion.shule ya tatu ni underlake.ipo jirani na hizo shule mbili.ila hizo shule hupati nafasi kizembe mpka interview ya mitihani.
 
Back
Top Bottom