Natafuta shule nzuri kwa mtoto

Garfield

Senior Member
Joined
Jan 13, 2020
Posts
109
Reaction score
373
Wanazengo habari za wakati huu
Naomba kuulizia kwa anayefahamu shule nzuri ya kutwa (English Medium) kwa mtoto (miaka 5-10) maeneo karibu na Mwana Nyamala, anisaidie kunipa jina la shule pamoja na mtaa iliyopo. Shule ada isiyozidi milioni moja (1 mil) kwa mwaka (ukiweka pamoja na usafiri -school bus)

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…