Natafuta short time research deals

Kwa ambaye hajwahi fanya kazi za research hana budi kuchekelea but kwa waliofanya na taasisi kadhaa ni ngumu kupiga nao mkataba kama mdau alivyo sema!
 
Hata mm nawajua hao Sagacci. Wapo poa tu just mchek boss mcharo au jamaa anaitwa amir. Juz walikuwa wanataka watu nikawaunganisha jamaa zangu wa 4 sasa hivi wamepewa training na wanafanya kazi fresh wapo na project mpya now so changamka
 
mkuu wanaangalia vigezo gani ili mtu kujoin nao??
 
Mkuu ukishakuwa na diploma u degree means ni mtu unae jielewa na unafundishika. Ila kama una background ya mambo ya research inakuwa advantage sanaaa
what if kama mtu ndo yuko chuo hajamaliza .....anaweza kua enrolled kwa elim ya form 6??
 
wanapatikana msasani..sema hawalipi vizuri mkuu..ila kama una shida ya kazi ngoja nkutafutie number za boss wao anaitwa mcharo.me pia nimewahi kufanya nao kipindi bado sijapata kazi ya kueleweka
Hawa jamaa ni wazinguaji hatari hasa kwenye malipo!na wabahili hatari hasa kwenye maswala ya mkwanja!ila kama unataka kusotea hela nenda
 
Hata mm nawajua hao Sagacci. Wapo poa tu just mchek boss mcharo au jamaa anaitwa amir. Juz walikuwa wanataka watu nikawaunganisha jamaa zangu wa 4 sasa hivi wamepewa training na wanafanya kazi fresh wapo na project mpya now so changamka
 
Hawa jamaa ni wazinguaji hatari hasa kwenye malipo!na wabahili hatari hasa kwenye maswala ya mkwanja!ila kama unataka kusotea hela nenda
kiukweli mimi nimefanya nao project mbili na hawajawah kunisumbua malipo yangu.
 
Hata mm nawajua hao Sagacci. Wapo poa tu just mchek boss mcharo au jamaa anaitwa amir. Juz walikuwa wanataka watu nikawaunganisha jamaa zangu wa 4 sasa hivi wamepewa training na wanafanya kazi fresh wapo na project mpya now so changamka
Mkuu naomba unisaidie namba ya Amir Maana Mcharo amesema kwa Sasa Hana maauzi saana pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…