Natafuta shareholder katika biashara ya chakula

Natafuta shareholder katika biashara ya chakula

kabogo Furaha

Member
Joined
Jun 15, 2019
Posts
15
Reaction score
55
Habari wanaharakati wenzangu natafuta mtu amabaye ana experience katika masuala ya chakula tufanye kazi pamoja vifaa vyote vipo vya chips, chakula na machine ya juice ya miwa kama upo interested na upo seriously nicheck.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom