Natafuta shamba

Natafuta shamba

Vicin

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Posts
676
Reaction score
295
Wadau kwa anaefahamu sehemu lilipo shamba linalofaa kulima nyanya lenye ukubwa wa ekari moja hadi tano daressalaam au Morogoro tuwasiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shamba lipo Turiani mkuu.
Ekari5 zipo free na tayari limeandaliwa kwajili ya umwagiliaji.
Maji mengi ya mto yapo pembezoni mwa shamba.

Karibu tujadili
 
Kila la kheri mkuu, kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi sana.
 
Kila la kheri mkuu, kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi sana.
 
Back
Top Bottom