Natafuta shamba

Chanzo cha hayo ni Maji ni nini?? Mto, ziwa, bwawa, Kisima, au??
Na Huo umbali ni kutoka wapi??

Lipo bonde ambalo ni kama bwawa maji yanakaa mwaka mzima pia unaweza chimba kisima, mfano mimi nilalo hapo karibu na bonde pia nimechimba kisima. Umbali huo ni kutoka barabara kuu ya kilwa, aka kilwa road. Yaan kutoka barabara kuu mpaka shamani maximum km 3
 
Kilimahewa ni wapi?
Unapita Mwarusembe??
Ni Upande upi ukiwa waelekea Kusini??
 
Kilimahewa ni wapi?
Unapita Mwarusembe??
Ni Upande upi ukiwa waelekea Kusini??

Kilimahewa ni ukivuka kimanzichana, yaani ukifka kimanz kijiji kinachofuata ni kilimahewa kama km 90 hivi ukitokea mbagala
 
Kama hujapata me nnalo kibiti heka 10... Niite 0763328830
 
Umechimba kisima cha aina gani na Gharama za kuchimba kisima n sh ngapi? Je kinakaa na maji mwaka mzima?
 
Wauzaji ni wazawa wa kule sasa hadi niende nichukue contact, kwa sasa nimesafiri kidgo kikazi nikirud nitawasiliana na ww ikiwezekana ukaone mwenyewe maeneo ukaonana na wauzaji pia
Okay nasubiri
 
Umechimba kisima cha aina gani na Gharama za kuchimba kisima n sh ngapi? Je kinakaa na maji mwaka mzima?

Nimechimba kisima kirefu, garama nifuate inbox kama unataka, maji ni mwaka mzima mita 90 c mchezo kama bahari. karibu
 
SHAMBA LINAUZWA,LIPO MKURANGA PWANI KIJIJI CHA KIBUDI.
UKUBWA EKARI SABA NA NUSU [7 1/2].
BEI 700,000 KWA EKARI [MAELEWANO YAPO]
KUTOKA MBAGALA RANGI TATU HADI SHAMBANI UNATUMIA SAA 1 NA DK 30 KUFIKA NA NAULI 3000.
KWA MAWASILIANO…..0788457446
Umbali hupimwa kwa Kilometa Mkuu,
Saa inatofautiana kati ya Dereva na Dereva, pia Saa za Mtu aliepanda Piki piki sio sawa na Wa daladala pia sio sawa na Private Car
 
Umbali hupimwa kwa Kilometa Mkuu,
Saa inatofautiana kati ya Dereva na Dereva, pia Saa za Mtu aliepanda Piki piki sio sawa na Wa daladala pia sio sawa na Private Car

Njoo kilimahewa eka lak 8 umbali km 1 kutoka maini road shamba la bondeni maji mwaka mzima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…