Wapendwa salam,
Naomba mwongozo wa bei ya shamba heka moja Msata barabara ya Bagamoyo.
0713 291 947
Hata dalali pia ni afisa,Huyo ni dalali au afisa wa nini?
Hata dalali pia ni afisa,
Au ushameza afisa mifugo
Afisa kilimo
Afisa afya
Afisa bla bla bla bka
Hata wewe unaweza kuwa afisa kulingana na nafasi yako kwenye jamii inayokuzunguka.