Habari zenu bandugu nahitaji mashamba ya kulima yaliyo karibu na sio mbaali sana na makazi ya watu kwaajiri ya usimamizi wa karibu, itapendeza kama yatapatikania maeneo ya Morogoro & Tanga
Nitafute kwa no.+255755500814
Nina heka 3 morogoro maeneo nauza be yakawaida nilitaka kuanza kulima mwezi huu ila nimepata scholarship ya nenda masomoni nje.. Kama upo tayari nipigie 0714651666
Nina heka 3 morogoro maeneo nauza be yakawaida nilitaka kuanza kulima mwezi huu ila nimepata scholarship ya nenda masomoni nje.. Kama upo tayari nipigie 0714651666