Natafuta shamba la kununua Moshi

Natafuta shamba la kununua Moshi

Mahoma

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
18
Reaction score
2
Wadau wa jamvini Habari. Natamani kununua shamba Moshi, maeneo ya kuanzia Machine Tools mpaka Uchira. Eneo linalofaa kwa kuishi na kilimo/Ufugaji minimum ekari 2. Umbali wa kutoka huduma za maji na barabara uzingatiwe ikiwezekana.

Mwenye tetesi awasiane kwa 0754480 513 / mahomamat@gmail.com.

Asanteni
 
Ukipata nami nishtue Mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom