Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,709 Reaction score 51,140 Oct 16, 2023 #21 Bob junior Serengeti said: Pia jaribu kucheki maeneo ya Mvumi, Kilosa. Kule uhakika hata bei za kukodi zipo chini kidogo.. Click to expand... Ok....mleta Uzi ndio ana Nia atasikia
Bob junior Serengeti said: Pia jaribu kucheki maeneo ya Mvumi, Kilosa. Kule uhakika hata bei za kukodi zipo chini kidogo.. Click to expand... Ok....mleta Uzi ndio ana Nia atasikia
John mungo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 1,008 Reaction score 1,029 Oct 16, 2023 #22 Kama bado nione PM shida imekwisha.
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,631 Reaction score 2,960 Oct 16, 2023 Thread starter #23 Dr. Zaganza said: Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta Click to expand... Nakuja PM
Dr. Zaganza said: Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta Click to expand... Nakuja PM
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 Oct 16, 2023 #24 Dr. Zaganza said: Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta Click to expand... Watu kama nyinyi mnahitajika sana kwenye hii jamii
Dr. Zaganza said: Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta Click to expand... Watu kama nyinyi mnahitajika sana kwenye hii jamii
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,631 Reaction score 2,960 Oct 16, 2023 Thread starter #25 Joannah said: Ok....mleta Uzi ndio ana Nia atasikia Click to expand... Nishamsikia 🤝🤝
blacksamurai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 392 Reaction score 658 Oct 18, 2023 #26 1:Unataka kwa ajili ya kilimo cha zao gani? 2:Morogoro ni kubwa mno na sehemu nyingi kuna hicho kilimo cha umwagiliaji, je wewe ungependelea maeneo gani? Kilosa, Dakawa, Dumila. Kote huko unaweza piga hicho kilimo cha umwagiliaji
1:Unataka kwa ajili ya kilimo cha zao gani? 2:Morogoro ni kubwa mno na sehemu nyingi kuna hicho kilimo cha umwagiliaji, je wewe ungependelea maeneo gani? Kilosa, Dakawa, Dumila. Kote huko unaweza piga hicho kilimo cha umwagiliaji
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,631 Reaction score 2,960 Oct 19, 2023 Thread starter #27 blacksamurai said: 1:Unataka kwa ajili ya kilimo cha zao gani? 2:Morogoro ni kubwa mno na sehemu nyingi kuna hicho kilimo cha umwagiliaji, je wewe ungependelea maeneo gani? Kilosa, Dakawa, Dumila. Kote huko unaweza piga hicho kilimo cha umwagiliaji Click to expand... Hayo maeneo yote sawa tuu
blacksamurai said: 1:Unataka kwa ajili ya kilimo cha zao gani? 2:Morogoro ni kubwa mno na sehemu nyingi kuna hicho kilimo cha umwagiliaji, je wewe ungependelea maeneo gani? Kilosa, Dakawa, Dumila. Kote huko unaweza piga hicho kilimo cha umwagiliaji Click to expand... Hayo maeneo yote sawa tuu
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,555 Reaction score 11,251 Oct 21, 2023 #28 2sexy said: Mwaka huu lkn 4, na kwa connection Na mtu akipanda bei unarudishiwa hela yko mwenzako anapewa Dakawa imekua ya hovyo sana Click to expand... Mmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini???
2sexy said: Mwaka huu lkn 4, na kwa connection Na mtu akipanda bei unarudishiwa hela yko mwenzako anapewa Dakawa imekua ya hovyo sana Click to expand... Mmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini???
2sexy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 708 Reaction score 1,595 Oct 23, 2023 #29 Copa Cabana said: Mmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini??? Click to expand... Potential ipo kwa vile ni kilimo cha umwagiliaji na manufaa yapo pia
Copa Cabana said: Mmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini??? Click to expand... Potential ipo kwa vile ni kilimo cha umwagiliaji na manufaa yapo pia
T Trira Member Joined Nov 15, 2015 Posts 24 Reaction score 6 Sep 5, 2025 #30 Dr. Zaganza said: Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta Click to expand... Boss ili shamba unauza?
Dr. Zaganza said: Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta Click to expand... Boss ili shamba unauza?
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,601 Reaction score 2,461 Sep 6, 2025 #31 Trira said: Boss ili shamba unauza? Click to expand... Ndiyo, piga 0713 0713 039 875