Eng kihonza
Member
- Mar 3, 2016
- 41
- 13
Natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe,dona, mchele na maharage kwa bei ya jumla.
Tuwasiliane mkuu kuna mahitaji 0716 201695Natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe,dona, mchele na maharage kwa bei ya jumla.
Mchele na maharage unanunua sh.ngapi kwa kilo na upo maeneo gani?Natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe,dona, mchele na maharage kwa bei ya jumla.