Wakuu naomba anaefahamu wapi kwa dsm naweza kupata viatu vya kimasai kwa bei nafuu na iwe bei bei ya jumla nahitaji kununua
Sent using Jamii Forums mobile app
AnauzajeKuna fundi mzuri sana pale shule ya msingi mgulani, yupo jirani na hostel ya Dit
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sh ngapiNenda pale karume machinga complex kuna jamaa walemavu wanauza bei poa sana
Jpili nimechukua pair 3 kwa elfu 12 kwa moja, lakini kwa ww unayetaka vingi atapunguza bei na nipo tayari kukusaidia juu ya hilo
Wanaanzaga na elf 5 mpk 8 kwa jumla
Location yakoTunauza viatu vya KIMASAI kwa bei ya kiwandani jumla na rejareja
Jumla ni shilingi 5000 na 7500
Reja reja ni shilingi 7000 na 9000
Tunapatikana mwenge na mikoani tunatuma bila shida yyte karibuni sana
Wasiliana nasi call/whatsap 0672904720View attachment 1537778View attachment 1537779View attachment 1537780View attachment 1537782View attachment 1537781View attachment 1537783View attachment 1537784View attachment 1537785View attachment 1537786
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
tupe bei mkuu tujitathminiBei POA
Kitu og from Kenya
0676173331View attachment 1068246View attachment 1068247
Sent using Jamii Forums mobile app