Natafuta sehemu ya kufanyia field

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Natafta sehem ya kufanya field nasoma Saut Mwanza BAPRM. Please msaada wa contact au ofisi wanaopokea watu kwa ajil ya field.
 
Natafta sehem ya kufanya field.nasoma saut mwanza public administration.please msaada wa contact au ofis wanaopokea watu kwa ajil ya field

OK Unaomba field wapi mwanza ? au popote TZ ? wewe ni KE au ME ? nijibu tafadhali
 
Tangu lini saut-mwanza wameanza kutoa public administration?!?
Au una maanisha BAPRM?
 
Natafta sehem ya
kufanya field nasoma Sauti Mwanza public administration. Please msaada
wa contact au ofisi wanaopokea watu kwa ajil ya field.

kwanza saut mwanza hamna kozi ya public adninistration.......
 
My dada rekebisha tu! Maana wengine hawajui sauti,wanajua ni Saut
 
Dar utakuwa lini? niPM nikuungaishe na mtu anaweza kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…