NATAFUTA SEHEMU YA KUFANYIA FIELD MUSOMA

Alarm

Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
21
Reaction score
3
Msaada tafadhali wanajf ninahitimu mwezi wa 11, mafunzo ya ICT.Ninaomba mwenye kujua nafasi ya kufanyia field Mjini Musoma naombeni msaada tafadhali ndugu zang wanajf.
 
nenda kaombe halmashauri huwezi kosa.
 
Ahsante mkuu ngoja nijaribu nione km ntafankixha.
 
Back
Top Bottom